Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, April 14, 2015

Justin Bieber
 Justin Bieber katika vichwa vya vyombo vya habari tena.
Wakati rappa Drake akipata mabusu jukwaani kutoka kwa muimbaji mkongwe namahiri, Madonna jukwaani,siku haikuwa nzuri kwa mshikaji wake,Bieber kwani alitolewa nje ya tamasha hilo la Coachella akiwa amekabwa na kubebwa juu juu na mabaunsabeing kicked out of Coachella.
Mtandao wa kidaku wa TMZ, umesema pop superstar huyo Justin Bieber,alikuwa tamashani hapo kutazama sehemu ya tamasha hilo lililooongozwa na mshikaji wake,Drake siku ya jumapili usiku.
Alipofika mahala walipoandaliwa kukaa wanamuziki,walinzi walimzuia Bieber na crew yake na kusema mahala hapo pamejaa japo Bieber alionyesha tiketi maalumu walizopewa ajili ya kuingilia hapo.Ndipo Biebr akaanza kubishana nao huku akiwaelezea kwamba haiwezekani yeye kukaa katika umati waw watu wanaoangalia tamasha yeye ni mtu maarufu ,walinzi walionekana kuchuizwa na kauli hizo na kuamua kum beba juu juu na kumuondoa mahala hapo.


0 comments:

Post a Comment