Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, April 14, 2015

 
US reality TV star Kim Kardashian na mumewe,rappa Kanye West walifika mji mkongwe wa Jerusalem siku ya jumatatu kwaajili ya kum batiza binti yao,North Westa katika kanisa la Armenian Cathedra
Wawili hao walipaa na ndege toka katika ziara yao huko Armenia na kutua katika uwanja wa ndege wa Tel Aviv wa Ben Gurion kabla ya kuendesha gari kuelekea mji mtakatifu wa Jerusalem.
Wakiwa mitaani Huku Kim Kardashian akiwa kam beba mwanaye wa miezi 21walivamiwa na kundi la mamia ya mashabiki ambapo walinzi na wana usalala waliingilia kati na kumaliza utata huo.
Taarifa zaidi zinasema mastaa hao wamekwenda mji mtakatifu wa Jeruslalemu kwaajili ya ubatizo wa binti yao North West,ubatizo utakaofanyika katika mjini hapo."

0 comments:

Post a Comment