Revolt TV imetangaza kwamba the Young Money queen,Nicki Minaj kuna uwezekano mkubwa akawa amevalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa sasa, Dreamchaser Meek Mill.Hii ni kutokana na picha aliyoipost jana April 4 Nick Minaji katika mitadao ya kijamii akiwa amemuegemea mpenzi wake huyo huku akilingishia pete yenye madini ya thamani katika mkono wake wa kushoto na ujumbe huo ukisindikizwa na vikatuni vya alama za mapenzi.
Miezi miwili iliyopita Nick alikuwa akikanusah mahusiano yake na Mek Mill na kusma wao ni washkaji tu lakini kwasasa amekuwa akipost picha kadha wa kadha zikiwaonyesha wapo pamoja kama wapenzi.
0 comments:
Post a Comment