Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, April 16, 2015

0415-lil-wayne-tmz-01

Lil Wayne amefunguliwa mashitaka ya kutishia kumuua dereva wa basi lake la ziara ya muziki.
Kutokana na ilivyoandikwa katika mafaili ya kesi inayomkabili rappa huyo,dereva huyo amesema alikodishwa na Wayne na watu wake kwaajili ya ziara ya muziki mnamo mwaka 2014 kwaajili ya summer concert tour ambapo mahala pa kwanza kufanya onyesho ilikuwa ni Buffalo.  
Dereva huyo anasema utata ulianzia pale alipoingia kitoni aili ya kuweka mafuta ndipo rappa huyo alipoanza kumuwakia kwamba kwanini haukujiandaa maka unaingiza basi  kituo cha mafuta likiwa na abiria.
Dereva huyo ameongeza kusema pamoja na kuweka mafuta na kuendelea na safari,Lil Wayne aliendelea kumtishia na kumfata na kumwambia angemmaliza kwa bastola ambayo aliikoki tayari,dereva huyo amesema muda wote huo alikuwa kimya huku akiendesha kwa uoga kitu ambacho anaamini kilimuokoa.

0 comments:

Post a Comment