Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, April 16, 2015

View image on Twitter
Ule mpambano wa masumbwi wa kihistoria kati ya mabondia Manny Pacquiao na Floyd Mayweather umebakisha takribani wiki mbili na siku kadhaa kufanyika.
Mabondia wote wawili wapo katika mazoezi makali ya kujiandaa na mpambano huo wa kihistoria na unaosemekana ni wa gharama zaidi kuwahi kutokea kwani kuaznia malipo kwa mabondia hao,viingilio na hata fulsa ya televisheni kurusha live.
Wakati wakiendelea kujifua bondia huyo wa kifilipino amezawadiwa speed bag mpya yenye picha ya sura ya hasimu wake,Mayweather kumuongezea kasi ya kumuangusha mpinzani wake huyo mara atakapokuwa akikishambulia kifaa hicho.

Manny Pacquiao’s big fight against Floyd Mayweather is two and a half weeks away, but he’s already getting some practice punching his opponent’s face.

Read more at: http://nesn.com/2015/04/manny-pacquiao-receives-new-speed-bag-with-floyd-mayweathers-face-on-it/

0 comments:

Post a Comment