Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, April 18, 2015

Chris Brown and Royalty

Kwa mara ya kwanza Chris Brown siku ya alhamis alipost picha mbili wakiwa wamevalia hoodi nyekundu sale yeye na binti yake Royalty katika akaunti yake ya Instagram.
Chris Brown anathibitisha ile habari ya kuwa yeye ni baba iliyochukua nafasi yake katika mitandao mwezi March ambapo ilisemekana Chris Brown ni baba wa binti wa binti wa miezi 9 aliyepewa jina Royalty aliyezaa na mwanamitindo Nia Guzman huku akiwa ndani ya mahusiano na girlfriend wake,Karrueche Tran.
Taarifa zilizofata ni Chris Brown kukubaliana na mama mtoto kuwahamisha kutoka Houston kwenda L.A ili apate kuwa nao karibu.

0 comments:

Post a Comment