50 Cent amesema moja kati ya mambo yaliyosababisha kufeli kwa kampuni ya SMS
Promotions ni kukosa msaada kutoka kwa bondia Floyd Mayweather kama alivyomuahidi.
Mnamo mwezi May kampuni ya 50 Cent and Floyd Mayweather SMS Promotion ilitangazwa kufilisika .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment