Rappa Meek Mill alituma ujumbe wa ushauri kwa rappa toka pande za Compton, California YG baada ya kupata habari kwamba ameshambiliwa kwa risasi 3 pajani alipokuwa akitokea Studio City mitaa ya Los Angeles siku ya ijumaa (June 12).
Rappa Meek Mill alimshauri YG kuacha kuendelea kujifanya mtoto wa kitaa wakati ameshatoka maisha hayo,watu wanaoishi maisha hayo wanakuona unaigiza na unawachora sababu wanajua wewe umeshatoka na una pesa na michongo kibao ya kupata hela tofauti na wao,ndiyomaana
0 comments:
Post a Comment