Carters wameingia katika biashara.Dwayne Michael Carter,Jr aka Lil Wayne na Shawn Corey Carter
aka Jay Z wameingia kufanya biashara ambayo inasemekana ni big deal.
Lil Wayne nidye aliyefunguka kuhusu dili hilo pale alipokuwa jukwaani akitumbuiza katika tamasha la Summer Jam lililofanyika KMEL Oakland’s Oracle Arena siku ya jumamosi.
Li Wayne aliusisimua umati uliokuwa ukimtazama akishambulia jukwaa kwa kuwaambia:“I just signed a deal with my motherfu**in’ idol, Jay Z,,akimaanisha amesaini dili na Kioo wake ambaye ni Jay -Z japo hakufafanua dili gani.
Wayne hivi karibuni alimfungulia mashataka bosi wa Cash Money Record,Birdman kwamba andai kiasi cha dolla millioni 51.Kufuatia kujitangaza kwamba amesaini dili na Jay-Z wengi wanahisi kuwa anaweza kuelekea katika lebo ya gwiji huyo wa Hiphop,Roc Nation next.
Kufuatia matatizo ya Lil Wayne na uongozi wa lebo ya Cash Money,mwaka jana rappa Pusha T alimualika ajiunge na lebo ya Kanye West the G.O.O.D. Music roster kwa kumuandikia kupitia akaunti yake ya twitter:
“@LilTunechi if u wanna drop albums & don’t want your CEO’s rubbing
they hands all in your videos, COME TO GOOD MUSIC!!”
Monday, June 15, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment