Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, March 11, 2014

 

G-Unit head 50 Cent ambaye hivi karibuni ameachia albamu yake ya Animal Ambition,amezungumzia kile kilichomfanya awe na mnyama nahata kufikia kuiita albamu yake jina la kinyama.Akiongea katika mahojiano,rappa 50 Cent amesema,nilipoangukia katika hiphop kitu muhimu kabisa kilikuwa ni kuchagua mtindo,na ndipo nilipovutiwa na mitindo ya kinyama ya ma rappa kama Rakim na rap veteran Nas.

0 comments:

Post a Comment