Sherehe za utoaji wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards zilifanyika siku ya jumamosi ya tarehe 13 June 2015 katikia ukumbi wa Mlimani City huku zikifuatiliwa na maelfu ya watanzania na wapenzi wa muziki wa Tanzania waliopata burudani hiyi live kupitia kituo chako bora cha televisheni cha ITV.
Kwanza nipeleke salamu za pongezi kwa waandaaji wa tuzo hizi za KTMA,TBL kupitia bia ya KILIMANJARO,BASATA,wana Akademy,timu ya mafundi mitabo wa ITV na taaisi mbalimbali zilizoshiriki vema kuhakiki zoezi hili linafanikiwa.Star wa muziki wa kizazi kipya ambaye uimbaji na sauti yake inavutia wengi,Alikiba aling'ara katika tuzo hizo kwa kujizolea tuzo 5.
Tazama orodha hiyo hapo chini:Mdau wa Muziki aliyefanikisha Maendeleo ya Muziki (Hall of Fame)- Marehemu Kapt. John Komba
Kikundi Bora cha Mwaka (Bongo Fleva)- Yamoto Band kilikuwa kikishindanishwa na:
2. Weusi
3. Navikenzo
4. Makomando
5. B.O.B africanjam.com
Kikundi Bora cha Mwaka Taarab- Jahazi Modern Taarab
2. Mashauzi Classic
3. Dar Modern Taarab
4. Five Stars
5. Wakali Wao Modern Taradance
Bendi Bora ya Mwaka- FM Academia,ilikuwa ikishindanishwa na:
2. The African Stars
3. Mapacha Watatu
4. Mashujaa Band
5. Msondo Ngoma
Wimbo Bora wa kushikishwa/ Kushirikiana- Kiboko Yangu (Mwana FA Feat. Ali Kiba) ulishindanishwa na:
1. Forever - Lady Jaydee ft Dabo
2. Mfalme - Mwana FA fr G-Nako
3. Kipi Sijasikia - Prof Jay ft Diamond
5. Kerewa - Shetta ft Diamond
Msanii Bora Chipukizi Anayeibukia- Barakah Da’ Prince
2. Beka Tittle
3. Afromaniac
4. Alice
5. Billnas
Wimbo Bora wenye vionjo vya asili ya Kitanzania- ‘Waite’ (Mrisho Mpoto) ulishindanishwa na:
2. Vuma - Vitalis Maembe
3. Tumetoka Mbali - Jagguar Music
4. Mama Shabani - Ifa Band
5. Omwana - B.K Sande
Wimbo Bora wa Zouk/ Rhumba- ‘Nitampata Wapi’ (Diamond Platnumz)
1. Nani Kama Mama - Christian Bella
2. Basi Nenda - Mo Music
4. Nasimama - Lady Jaydee
5. Historia - Lady Jaydee
Wimbo Bora wa Afro Pop- ‘Mwana’ (Ali Kiba) ulishindanishwa na:
2. Mdogo Mdogo - Diamond
3. Niseme - Yamoto Band
4. Nitakupwelepweta - Diamond
5. Kanyaboya - Mesen Selekta
6. Hawajui - Vanessa Mdee
Video Bora ya Muziki ya Mwaka- ‘Mdogo Mdogo’ (Diamond Platnumz) ilishindanishwa na:
2. Nitampata Wapi - Diamond
3. Mwana - Ally Kiba
4. Olethemba - Linah
5. Asante - AY
Producer Bora wa Nyimbo wa Mwaka (Bendi)- Amoroso,alishindanishwa na:
1. Allan Mapigo
2. Enrico
3. Said Comorien
5. Ababuu Mwana Zanzibar
Producer Bora wa Nyimbo wa Mwaka (Taarab) – Enrico alishindanishwa na:
2. Marlon Linje
Producer Bora wa Nyimbo wa Mwaka (Bongo Fleva) – Nahreel,alishindanishwa na:
2. Man Water
3. Mesen Selekta
4. Tudd Thomas
5. Marco Chali
Mtunzi Bora wa mwaka Hip Hop- Joh Makini,alikuwa akishindanishwa na:
1. Fid Q
2. Mwana FA
4. Nikki wa Pili
5. Kala Jeremiah
Mtunzi Bora wa Mwaka (Bendi) – Jose Mara,alikuwa akishindanishwa na:
1. Jose Mara2. Nyoshi El Saadat
3. Rogart Hegga Katapila
4. Hussein Jumbe
5. Richard Mangustino
Mtunzi Bora wa Mwaka (Bongo Fleva) – Ali Kiba
2. Diamond
3. Ben Pol
4. Barnaba
5. Jux
Mtunzi Bora wa Mwaka (Taarab) – Mzee Yusuph,alikuwa akishindanishwa na:
2. Thabit Abdul
3. Isha Mashauzi
4. Abdallah Fereshi
5. Hassan Ally
Wimbo Bora wa Afrika Mashariki – Sura Yako (Sauti Sol),walikuwa akishindanishwa na:
Msanii Bora wa Hip Hop- Joh Makini,alikuwa akishindanishwa na:
Rapa Bora wa mwaka (Bendi) – Ferguson,alikuwa akishindanishwa na:
2. Msafiri Diouf
3. Sauti ya Radi
4. J4
5. Kabatano
Wimbo Bora wa Reggae/ Dancehall – Let Them Know (Maua Sama),ulikuwa akishindanishwa na:
2. Mama Afrika - Warriors From The East
3. Maisha Magumu - Warriors From The East
4. Greeting For You - Ras Six
5. Tujimwage - Deddy
Wimbo Bora wa Hip Hop- Kipi Sijasikia (Prof. Jay Feat. Diamond),uakishindanishwa na:
1. Bongo Hip Hop - Fid Q
2. Mfalme - Mwana FA
4. Gere - Weusi
5. I See Me - Joh Makini
6. XO - Joh Makini
Wimbo Bora wa R&B- Sisikii (Jux),alikuwa akishindanishwa na:
1. Nitasubiri - Ju
2. Unanichora - Ben Pol
3. Vitamin Music - Belle 9
5. Ni Penzi - Damian Soul
Wimbo Bora wa Kiswahili (Bendi)- Walewale (FM Academia) ulikuwa akishindanishwa na:
1. Otilia - FM Academia
2. Kiu Ya Haki - Mashujaa Band
3. Sauti ya Marehemu - Mapacha Watatu
4. Ganda la Muwa - Twanga Pepeta
5. Wale Wale - Vijana Ngwasuma
Wimbo Bora wa Mwaka – Mwana (Ali Kiba) alikuwa akishindanishwa na:
2. Nani kama Mama - Christian Bella
3. Gere - Weusi
4. Nitasubiri - Jux
5. Bongo Hip Hop - Fid
Wimbo Bora wa mwaka (Taarab) – Mapenzi Hayana Dhamana (Isha Mashauzi) ulikuwa akishindanishwa na:
1. Hasid Hana Sababu - Hadija Yussuf
2. Lady With Confidence - Khadija Kopa
Mwimbaji Bora wa Kike (Bongo Fleva)- Vanessa Mdee,alikuwa akishindanishwa na:
1. Lady Jaydee
3. Linnah
4. Grace Matata
5. Malaika
Mwimbaji Bora wa Kike (Taarab)- Isha Mashauzi,alikuwa akishindana na:
1. Khadija Kopa
3. Hadija Yussuf
4. Leyla Rashid
5. Fatuma Nyoro
Mwimbaji Bora wa Kiume (Taarab)- Mzee Yusuph,alikuwa akishindan na:
2. Prince Amigo
3. Hassan Vocha
4. Hassan Ally
5. Mussa Kijoti
Mtumbuizaji Bora wa muziki wa mwaka wa Kike- Vanessa Mdee,alikuwa akishindana na:
2. Khadija Kopa
3. Isha Mashauzi
4. Shaa
5. Dayna Nyange
Mtumbuizaji Bora wa muziki wa mwaka wa Kiume- Ali Kiba,alikuwa akishindana na:
1. Mzee Yusuf
2. Christian Bella
3. Diamond Platnumz
MWIMBAJI BORA WA KIKE- BENDI
(Hakukuwa na washindani)
0 comments:
Post a Comment