Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, June 12, 2015

 
Aliyekuwa mpenzi wa rapa Nicki Minaj,Safaree Samuels amefunguka kuhusu mahusiano yao kimapenzi yaliyodumu kwa takribani miaka 12 mpaka kuvunjika mwezi desemba 2014 katika wimbo wake atakaoutoa hivi karibuni uliopewa jina la “Love the Most.” Baada ya habari hiyo kusikika katika mitandao ya kijamii na vyombo vya habari,Nicki Minaj amekuja na kujibu mapigo kwa upande wake na kufunguka zaidi kupitia akaunti yake ya Twitter kwa kusema: kilichopelekea kummwaga Safaree ni mpenzi wake huyo kukosa uaminifu katika mahusiano yao ambapo alikuwa akijivinjali na vimwana pembeni na kuongeza somo:“Lesson: don’t cheat on a loyal woman. God will punish u.The truth may set u free. Love. Always. Took a person with me to fame & fortune. These dudes leave their girl in the hood. Tell ppl the truth or you will b doomed.”
But she wishes him well. “God gave me a good heart. I always let ppl get over on me way too long. But that’s why I’m blessed. I’ll always b blessed. May God keep u,”. “Making a 12 yr relationship work at such young ages? We're BOTH the real MVP. things got rocky at the end but we had a GREAT run.”Na kama haitoshi alitangaza rasmi kuwa ana mpenzi mpya ambaye ni Meek Mill kwa kusema: “And just for the record, I’m in love with meek.”

0 comments:

Post a Comment