Chris Brown ameema bado anampenda aliyekuwa mpenzi wake kwa takribani miaka 4,Karrueche Tran.
Chris Brown aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Ryan Seacrest siku ya jumanne (June 9) ambapo Brown alikiri kuwa bado anampenda mpenzi wake huyo ambaye mapenzi yao yalivunjika baada kufahamika kwamba Brown ana mtoto wa kike mwenye miezi 9 na mwanamke mwingine.
Brown alisema:“I'm not a hateful person,” Brown continued.
“Of course I still love her, but mentally right now, I think everything
takes time. I just need to focus on being the best father that I can
be.”
Friday, June 12, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment