Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, December 10, 2015


 Drake Named Billboard's R&B/Hip-Hop Artist Of The Year
Wakitangaza ripoti ya mwaka huu wa 2015,Billboard wamemtaja Drake kuwa msanii bora wa R&B/Hip-Hop wa mwaka.
Rapa huyo toka pande za Toronto anaenjoy mafanikio ya albamu yake aliyoitoa mwaka huu aliyoipa jina If Youre Reading This Its Too Late.
Billboard pia wamemtuza rappa Fetty Wap  ama Top New Artist.Rapa huyo toka pande za The Paterson, New Jersey amekuwa na mwaka mzuri na ngoma yake "Trap Queen"ambayo mpaka ripoti hii inatoka imehika namba 2 katika kipengele cha Hot R&B/Hip-Hop Song huku wimbo wake mwingine "679" ukiwa katika namba7. Fetty Wap ametajwa namba 3 katia best R&B/Hip-Hop Artist akiwa nyuma ya The Weeknd.
Ripoti hii imetolewa kutokana na msimamo wa tangu December 6, 2014 mpaka November 28, 2015.

0 comments:

Post a Comment