Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, December 10, 2015

 
Rapa  mmoja chipukizi aliyetambulika kwa jina la J.Luchiano amejikuta matatani badala ya kutimiza ndoto zake. 

J.Luchiano alitaka kutimiza ndoto zake kwa kumsikilizisha bosi wa MMG,Rick Ross kazi zake kwa kumuachia asikilize mixtape yake lakini kwa bahati mbaya alijikuta akitumia njia sizo na kuingia matatani.Luchiano aliruka geti laRick Ross na kujipiga selfies kadhaa katika eneo la mjengo wa Ross na kuacha mixtape yake na kisha kutupia picha hizo mitandaoni.Tukio hilo limempelekea kijana huyo kujikuta mikononi mwa polisi baada ya kutegwa na wanasheria waRoss kama kazi yake imekubaliwa hivyo aje ofisini waongee ndipo J alipowahi fasta na kukaribishw ana glass ya maji akisubiri waongee na badala yake wakaingia polisi na kumtia pingu kwa kosa la kuingia eneo la mtu bila ruhusa.

0 comments:

Post a Comment