Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, December 10, 2015

 GQ-Nicki-minaj-Meek-Mill-spread-ftr

What will Drake say? ndiyo swali ambao mashabiki wengi wanajiuliza ikiwa ni kweli Nicki Minaj amevishwa pete ya uchumba na rapa Meek Mill.Ikiwa ni siku moja tangu asherekea siku yake ya kuzaliwa,Jana 9 Dec Nicki Minaj ameonyesha pete ya uchumba ya almasi katika mitandao ya kijamii ikiwamo  Instagram.

Nicki Minaj 33 pamoja na kutupia picha hizo alimshukuru mpenzi wake Meek Mill, kwa kusema: “Now this is what I’m talking about baby.” See the ring here!

Kwa picha zile na ujumbe ule kuna uwezekano kwamba Meek amemvisha pete ya uchumba Nicki kama zawadi yake ya birthday .
Katika habari nyingine tunaambiwa Rapa Meek Mill kun uwezekano wa kusweka jela kwa kukiuka masharti aliyokiuka ya kutosafiri kufuatia makosa yake ya mwaka 2009 ya kukmatwa na silaha na madawa ya kulevya ambapo alitumikia kifungo toka mwaka 2012 mpaka 2014.

 nicki-minaj-engagement-ring-ftr

0 comments:

Post a Comment