Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, January 26, 2016



Macelebrities wengi wamejitokeza kuchangia maafa ya uksefu wa maji yaliyojitokeza huko Flint AQUAhydrate wamtangaza kujitolea chupa za maji milioni moja kwaajili ya watu wa Flint, Michgan.

Wawekezaji wa kampuni ya AQUA hydrate, Sean “Diddy” Combs na Mark Wahlberg, wameiungana na mastaa wenyeji wa Michigan wakiwamo Eminem na Wiz Khalifa kuchangia kupunguza tatizo hilo la maji.

0 comments:

Post a Comment