Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, January 27, 2016

Kanye West Changes "SWISH" Album Title To "WAVES" & Updates Tracklist

Kanye West ametangazaja kubadili jina la albamu kwa mara nyingine.
Rapa na mwanamitindo Kanye West alitangaza kubadili jina la albamu kutoka ''Swishi'' na kuwa ''Waves'' kupitia mtandao wa Twitter jana (January 26).
Jina la kwana kupewa albamu hiyo mwaka 2015 lilikuwa  So Help Me God mpaka mwaka jana mwezi May alipotanza kulibadili la albamu na kuwa SWISH huku akiwaambia mashabiki kama kuna uwezekano wa kubadilisha jina la albamu hiyo.
WAVES imetangazwa kuzinduliwa na kuingizwa madukani February 11 ambapo West ametangaza kufanya sehemu ya kwanza ya kuizindua kwa kusikilizwa katika ukumbi mkubwa kabisa wa Madison Square Garden wenye uwezo wa kuchukua zaid ya mashabiki 20,000.
Tazama orodha ya nyimbo zilizopo katika albamu hiyo ya Waves:

0 comments:

Post a Comment