Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, January 27, 2016



The “Sorry” singer,Justin Bieber amerejea katika kampeni za matangazo ya Calvins.  

Justin Bieber ambaye ametazwa kutumbuiza katika sherehe za tuzo za Grammys 2016, ameonekana amepozi akiwa na nguo za ndani za kiume katika kampeni hizo za matangazo ya Calvin Klein ambazo alizituma mitandaoni.
Kampeni hizo za Calvin Klein za mwaka huu wa 2016  pia zimewahusisha mastaa kama Kendrick Lamar aliyetajwa kuwania tuzo za Grammy vipengele 11,katika picha ya tangazo ameonekana akijipiga selfie katika kioo huku akiwa amevalia tshirt nyeupe na jacket la Calvin Klein ikiwa na caption: “I reflect in #mycalvins.”
Mastaa wengine katika kampeni hizo za Calvins ni sambamba na Fetty Wap, Joey Bada$$ na Kendall Jenner .

0 comments:

Post a Comment