Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, January 25, 2016

Drake & Nicki Minaj Reportedly Happy With Lil Wayne & Birdman Reconciliation 

Lil Wayne na Birdman wameamua kuweka tofauti zao pembeni.
Mtu mmoja wa karibu na wanachma wa YMCMB amesema hiyo imekuwa ni habari njema kwa masta Drake na Nicki Minaj ambao ilifika wakati walikuwa wakitakiwa kuchagua bega kati ya Lil Wayne ama Birdman.

Nicki na Drake walionekana kuwa upande wa boo wao Weezy,japo walikuwa wanatunza heshima kwa Birdman.
Taarifa zaidi zinadai hali ya sintofahamu iliyotokea kati ya maboss wao  ilikuwa ikiwachanganya sana mastaa Nicki na Drake.

Upande wa Nicki alipohojiwa kuhusu yupo upande gani alijibu: “People know that I love Wayne and I have loyalty towards him, but I love Baby too. I’m very close to Baby, and I don’t think people know that,”

0 comments:

Post a Comment