Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, January 4, 2016


Jaden Smith anaelekea kutimiza ndoto yake kubwa katika tasnia ya sanaa ya mitindo baada ya kutajwa kuwa balozi wa nguo za kike za lebo ya Louis Vuitton. Mtotot huyo wa mastaa Will na Jada mwenye umri wa miaka 17ametajwa kuwa balozi wa kampeni za lebo za Louis Vuiton kwa majira ya Spring/Summer 2016. Kupitia ukurasa wake wa Instagram brand director wa LV bwa Nicolas Ghesquière,aliweka picha za Jaden akiwa amevalia sehemu ya mavazi hayo mapya . 

0 comments:

Post a Comment