Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, April 29, 2016

 
Mystikal hivi karibuni alikuwa katika mahojiuano na watangazaji wa Hot 97 kuongelea kuhusu muziki wake mpya,akiwa katika mahojiano hayo hayo hit maker huyo wa ngoma kali kama Danger,Bounce,Move nk pia aliongelea kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa ziara ya muziki ya No Limit Tour.
Alipoulizwa kuhusu mahusiano yake na Master P alijibu wapo vizuri na wapo katika mipango mbali mbali ukiachilia mbali Biopic ya No Limit,kutakuwa na ziara ya muziki ambayo mipango ipo tayari wanaangalia kumbi na tarehe.
Mystikal pia aliongelea kuhusu jela kumbadilisha kimaisha na sasa si Mystikal yule,amekuwa na amebadilika.
Mystikal amemuongelea Bruno Mars na kusema alisababisha amuache mama mtoto wake ,kwani alikuwa na tabia ya kumpigia simu mara kwa mara mama mtoto huyo.

0 comments:

Post a Comment