Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 3, 2016


Vyombo vya usalama vya huko  northern California wamethibitisha kutokea kifo cha mama wa Tupac,Adfen Shakur ambaye ametajwa kufariki akiwa na umri wa maiak 69.
Afeni Shakur Davis ambaye ni ni mama wa late rap legend Tupac Shakur alitajwa sana na vyombo vya habari na kuongezewa umaarufu na mwananye pale Tupac alipoimba rekod ambayo ilitamba na kupendwa na wengi kote duniani,Dear Mama.
Maafisa wa usalama wa Califomnia wamethibitisha kutokea kwa kifo hicho na habari za hawali zinadai kwamba chanzo cha kifo cha Afen Shakur ni moyo wake kusimama ghafla (sadden Cardiac Arrest)

0 comments:

Post a Comment