Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, May 4, 2016

 50 Cent apologizes for mocking autistic airport janitor
Rapa 50 Cent atakiwa kuomba radhi kufuatia kitendo chake cha kumdhalilisha kijana mmoja mlemavu wa akili.Bosi huyo wa G Unit alimdhihaki kijana aliyefamika kwa jina la janitor mwenye umri wa maiak 19 kwa kumrekodi a kutuma kipande cha video mitandao kikisindikizwa na ujumbe: the janitor seemed “high as a motherf—-r. akimaanisha Jnitor amelewa sana madawa ya kulevya.Lakini badaye alifuta.
Baada ya kipande hicho cha video kusambaa,wazazi wa kijana Janitor wakaongea na vyombo vy habari na kusema mtoto wao hatumii madawa ya kulevya bali ni mlemavu wa akili,hivyo wamemtaka rapa 50 Cent aombe radhi hadharani na akanushe ujumbe huo.
Rapa 50 Cent baada ya kupata ujumbe huo ameomba radhi kwa kuandika kwamba hakudhamiria kumdhalilisha kijana huyo kwani kwanza hakujuakuwa ni mlemavu wa akili,akaomba asamehewe na kijana huyo ,familia yake na yeyote aliyeguswa.
Si kila kitu ukionach unatuma mitandaoni na kukitolea maelezo bila kupata undani wake.

0 comments:

Post a Comment