Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 10, 2016

 Tokeo la picha la drake and wizkid
Najua si rahisi kuamini unaposikia kwa mara ya kwanz aila ndivyo ilivyo,Drake ametangazwa wimbo wake kushina namba moja katika chati za Billboard Hot 100,wa wimbo "One Dance" aliomshirikisha Wizkid kutoka Nigeria.
Wimbo "One Dance" aliomshirikisha Wizkid kutoka ulitajwa kuanza na mauzo ya nakala zipatazo 159,595 ulivyotoka tu wiki iliyopita na moja kwa moja ulitinga namba 5 katika chati za Billboard.
Albamu yake ya  VIEWS,ilishika namba moja katika Billboard Top 200 ikiwa na mauzo zaidi ya nakala millioni moja katika wiki ya kwanz.
Drizzy aka Drake anatajwa kuwa na nyimbo namba moja nyingi lakini za kushirikishwa ikiwemo ya sasa  "Work" na zamani "What's My Name," zote za rihana.
Rekodi ya mwisho ya Drake kushika nafasi za juu ilikuwa ni  "Hotline Bling" ambayo iliishia kushika nafasi ya 2 katika chati hizo.
Ngoma kama Successful Drake Featuring Trey Songz & Lil Wayne 17,The Motto Featuring Lil Wayn 14 ,
 Forever Fea Kanye West, Lil Wayne & Eminem 8,Take Care Feat Rihanna7,Started From The Bottom 6, Find Your Love5,Hold On, We're Going HomeFeat Majid Jordan 4,Hotline Bling 2,Best I Ever Had 2,One Dance Featuring WizKid & Kyla no.1
Muim baji Wizkid ametengeneza history kamat mnaijeria wa kwanza kutinga katika chati bora kabisa na kubwa kama Billboard 100.
Wizkid na Drake awali walishirikiana katika wimbo ‘Ojuelegba’.
 

0 comments:

Post a Comment