Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 10, 2016


Kuna wakati muziki unaweza ukawa ni dawa,baadhi ya misemo husema muziki ni kitu pekee kinachoweza kukupiga na usisikie maumivu,hayo yamejidhihirisha baada ya mke wa rapa na mwanamitindo,Kanye West,Kim Kardashia kuelezea katika kipindi cha televishenichao cha Keeping Up With the Kardashians juzi  (May 8),Kim Kardashian amesema kitendo cha mumewe bw Kanye kucheza muziki kilimsaidia mgonjwa ambaye alikuwa hana fahamu wala hajitambui,former basketball star bw Lamar Odom.
Kim aliendelea kusema,ilifika wakati mgonjwa alikuwa katika hali mbaya na wala hakuwa na ufahamu ila alikuwa anasikia tu na hawezi kujibu chochote,Kanye alikuwa pembeni yake akiimba na ku rapa mara kwa mara na siku moja wakati Kanye akiendelea na zoezi hilo,Lamar alipata fahamu na kuanza kuongea japo kwa shida ila alionekana kusikiliza kwa makini  music.”
Kim Kardashian alimaliza ka kusema Lamar Odom alimwambia muziki wa Kanye Westulimsaidia sana kupata nafuu.

0 comments:

Post a Comment