Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 10, 2016


Wakati song lake WORK likiwa linazidi kupasua anga na albamu yake ANTI bado inafanya poa kwa kushina namba 5 katika chati kubwa za muziki duniani,Billboard 200,Rihanna kupitia mfuko wa Clara Lionel Foundation aliouanzisha mwaka 2012 kwa kumbukumbu za babu na bibi yake bi Clara na Lionel Braithwaite, ametangaza kuanzisha programu rasmi ya kusaidia watoto na vijana kimasomo aliyoipa jina ( global scholarship program ) ambayo itatoa nafasi kwa vijana toka mataifa mbali mbali wenye mahitaji ya kwenda shule na vyuo huko marekani.
Akithibitisha hayo Rihana amesema 
“To be able to give the gift of an education is actually an honor,” “Higher education will help provide perspective, opportunities, and learning to a group of kids who really deserve it. I am thrilled to be able to do this.”akimaanisha: kutoa zawadi ya watu kuelimika ni heshima ya kipekee,elimu ya juu itasaidia kutoa fulsa na nafasi kwa vijana watakaoelimika,nafarijika kulifanya hili.
Hii ni fursa kwa wanafunzi kutoka mataifa ya Barbados, Brazil, Cuba, Haiti, Guyana na Jamaica na nafasi zilizotolewa ni mpaka elimua ya cheti cha bachelor degree katika university ya United States kuanzia mwaka 2016-2017.”

0 comments:

Post a Comment