Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, May 18, 2016

Future Wins Custody Battle Over Ciara

Ciara aliingia mahakamani jana (May 17) kusikiliza mwendelezo juu yakesi yake ya kutaka kupatiwa haki ya kulea mtoto yeye kama yeye na kumzuia baba wa mtoto huyo  bw Future ambaye yeye alifungua mashataka kutaka kupatiwa haki ya kuwa sehemu ya mlezi.
Future na mama mtoto wake Ciara waliburuzana mahakamani kila mmoja akitaka haki za kumlea mtoto wao Future Zahir Wilburn ambaye kesho (May 19) anatimiza miaka miwili.
Hakimu wa mahakama ya Atlanta alimaliza kesi hiyo kwa kupitisha maombi ya rapa Future na kutupili mbali madai ya Ciara kutotaka baba apate fulsa ya kumuona na kumchukua mtoto kwa kile alichokisema
kwamba Future si baba bora na atamuharibia maisha mtoto.

Ciara kwasasa anatoka na mchezaji wa football wa timu ya Seattle Seahawks,Russell Wilson.

0 comments:

Post a Comment