Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 17, 2016

donjazzy-wande
Dbanj 
1. D’banj
D’banj na Don Jazzy’walikuwani marafiki wa karibu na wa siku nyingi na walifanya kazi pamoja  ya biashara ya muziki  mchini ya lebo ya Mo’Hits records.
D’banj na Don Jazzy walihitilafiana pale D’banj alipoonekana yupo katika mbio za kupush career to the next level na kujiweka kimtaifa.

2. Wande Coal
Wande Coal alikuwa chini ya lebo ya  D’banj na Don Jazzy, Mo’Hits records, lakini mabosi zake hao walipohitilafiana aliondoka na Don Jazzy na kuingia lebo ya Don Jaz,Mavins records ambapo pia baadaye alijiondoa Mavins Records kwasbabu ambazo hazikufahamika kitendokilichopelekea  Don Jazzy na Wande Coal kuvaana kwa vita ya maneno kwenye Twitter ambapo Don Jazzy alimtuhumud Wande kumuibia wimbo ‘Baby Hello’ .

3. Olamide
Don Jazzy pia anatajwa kuwa na beef na Olamide Adedeji,ambaye ni C.E.O wa lebo ya YBNL.
Don Jazzy na Olamide walikwaruzana siku moja baada ya msanii wa Mavin  Reekado Banks kushind shindano la ‘Next Rated’ dhidi ya msanii wa YBNL Lil Kesh .
Wande Coal decided to leave Mavins Records at some point under what seemed like controversial circumstances. A few months later, Don Jazzy and Wande Coal fell out on Twitter when Don Jazzy accused Wande of stealing his song ‘Baby Hello’ and revealed Wande stole his intellectual property.

0 comments:

Post a Comment