Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, May 12, 2016

Herve Leger By Max Azria - Front Row - Mercedes-Benz Fashion Week Spring 2014
Nicki Minaj ajibu mapigo kwa ex wake ambaye ni bwana Safaree na hii ni bada ya Samuels kutaka kumfungulia mashataka mapema mwezi huu ukiachna na yale ya mwezi Novembere mwaka jana.
Bwana Safaree Samuelsamekaririwa akisema anamfungulia mashtaka mmapya aliyekuwa mpenzi wake,Nick Minaj kwa kile alichokisema kuathirika kisaikolojia na kimawazo kutokana na vitendo vya Nick kumtupia madongo katika nyimbo zake kitendo kinachomfanya kujisikia mnyonge,ananyanyasika,anaathirika kiakili na kushindwa kufanya mambo yake.Katika mashtaka ya awali Safaree alikuwa anaai kupatiwa malipo ya ushiriki wake katika kazi za Nick Minaj ambapo alisema alisaidia sana kuandika nyimbo nyingi na zilizofanya vizuri katika chati na mauzo.
Upande wake Nicki anasdema amechukizwa na kitendo cha Safaree kumsumbua mama yake Nicki kwa kumpigiapigia simu ambapo mwanzo alikuwa kama akiomba aombewe msamaha lakini baadaye akageuka msumbufu kwa kumsumbua mama huyo kwamba anamdai pesa.Nick ameongeza kusema kingine kilichomkasirisha Safaree ni pale mpenzi wa sasa wa Nick Minaj bwa Meek Mill kumpiga biti aache kutumatuma emali.
Moja kati ya tweets za Nick Minaj inasema:
U really want me showing these emails? I know u need a story line to be on reality Tv. God punishing u & u bout to get more!!!!!
“LEAVE US ALONE!!!!!! PLEASE!!!”

0 comments:

Post a Comment