Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, May 12, 2016


Pamoja na umahiri na umaarufu katika alionao Dj Khaleed,lakini linapokuja swala la Queen Bey aka Beyonce,anakuwa mdogo.
Akiongea katika mahojiano na waandishi wa The New York Times Dj Khaled ambaye kwasasa ni kama msanii mfunguzi katika matamasha ya ziara ya muziki ya Beyonce iliyopewa jina Formation World Tour,mara nyingi anaonekana na rafiki yake wa siku nyingi ambaye kwasasa ni bosi wake,rapa Jay Z,amesema mara zote akiwa mbele ya Beyoncé huwa ni mkimya na anafanya alichoambiwa ,sikwamba kwakuwa yupo katika ziara huwa anamuona Beyonce mara kwamara,huwa anamuona kwa nadra sana tena akiwa na Jay Z, na huwa anamalimia tu,'Hi,' kisha anaendelea na shughuli zake kama yeyote amwonapo bosi wake.
 Manno ya Dj Khaleed:
"I’m very quiet," he said. "Every time I’ve ever seen her is when I’m with my brother Jay Z, and I just say, 'Hi,' and I look the other way so fast, and I kind of run."

0 comments:

Post a Comment