Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 13, 2016

 Tokeo la picha la kanye West' and his Team
Mpishi mmoja maarufu kwa kupika chakula sherehe za mastaa huko New York, NY anayefahamka kwa jina la Stacy Adler amelalamikia kitendo cha timu ya watu wa rapa na m bunifu wa mitindo,Kanye West' kilivyomuendehs yeye na watu wake katika shugghuli ya Food and the City.
Stacy Adler mwenye umri wa miaka 50 amefanya kazi nyingi na watu maarufu mbali mbali  katika maeneo ya uandaaji wa filamu na vipindi vya televisheni na kashafanya kazi na macelebrities kama Jennifer Lopez, George Clooney, Madonna.
Stacy Adler amesema amfanya kazi nyingi lakini hii ya  Food and the City, siliyomkutanisha na Mr. Westilikuwa ni ya aina yake kani waliendeshwa vya kutosha,ilifika pahala waliambiwa wainamise vichwa chini wasiawaangalie wakina Kanye Westsna familia yake wakipit.
Stacy ameringanisha walichofanya\iwa na watu wa Mr.West aliyefanya naye kazi kwa masa tuu na alivyofanya kazi na Beyonce kwa siku mbili kila siku masaa 16 nawakati wa utayarishaji wa moja kati ya video zake na kusema "Jay-Z, Beyonce? A beautiful couple.

0 comments:

Post a Comment