Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 13, 2016

Tyga & Kylie Jenner Allegedly Break Up, For Good
 Tyga na Kylie Jenner andiyo basi tena.
Mtandao wa TMZ  umeandika kwamba  wawili hao wamemwagana wiki iliyopita baada ya Young Money member kutoonekana katika zuria jekundu katika maonyesho ya mavazi ya Met Ball huku mrembo Kylie Jenner kuonekana akiwa peke yake.
Taarifa zaidi zinadai Tyga alionekana sehemu nyingine akpata msosi na manywaji  na ndugu zake na mama yake wakisherekea Mother's Day .
Tyga alianza kutoka na Kylie Jenne wakati binti huyo akiwa na umri wa miaka 17-mwaka 2014.

0 comments:

Post a Comment