Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 6, 2016

 Tupac Shakur -- Resurrected ... Handwritten Notebooks And New Music Unearthed
Karl Kani ni moja kati ya wanamitindo ambao bidhaa zao za mavazi zimevaliwa sana miaka ya 90. m M bunifu wa  mitindo Karl Kani amekiri kwamba amewahi kupewa zawadi kubwa sana na hayati  Tupac.Katika mahojiano na vyombo vya habari Karl Kani alielezea kwamba Tupac hakumtoza kumtangazia mavazi yake.
Kar Kan anasema kwanza alikuwa na ukaribu na  ma rapa Daz,Kurupt na Snoop Dogg ndipo miaka kadhaa baadaye akakutana nakuunganishwa na Tupac .Karl amesem kwanza ma rapa Daz,Kurupt , Snoop Dogg na Tupac walikuwa wakivaa mavazi yake kwa mapenzi tu ndipo alipoamua kukaa na uongozi wake na kukubaliana wamtumie rapa Tupac kutangaza mavazi hayo.
Karl Kani alimuita Tupac na wakakutana katika hotel Nikko na kumuelezea kwamba sababu za kutaka wakutane ni kumshukuru kwa kutangaza mavazi yake na akamtaka wafanye makubaliano juu ya kiasi gani awe anamlipa ili aendee kutangaza,Kani kwa mshangao alimsikia Tupac akisema: I ain’t gonna charge you cause you black. You my peoples, man. I’m just gonna do it out of love.’
Wiki mbili baadaye alimtumia katika kupiga picha na kutengeneza kasha la albamu ya Above the Rim..”

0 comments:

Post a Comment