Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, October 2, 2012

Gunplay amchimba biti 50 Cent

akiongea katika interview na TMZ, MMG rapper Gunplay amechimba mkwala makali dhidi ya 50 Cent and G-Unit kufuatia tifu lao ktk BET Hip Hop Awards 2012.

Gunplay amesema alitaka kumuharibia 50 mbele ya security team yake ya watu 5, lakini G-Unit general alijificha nyuma ya security,hata hivyo  Gunplay alipata upenyo na kumwambia 50 ukizinguana na mimi, utashootiwa dk 0,gun asema hajui ilianzaje ila asema,nilikuwa alone na wao walikuwa mtu 5,na sikuwaogopa,sijui sababu moja kwa moja ila  nachojua ni kwamba namchukia sana 50, nimepania siku ntyingi kumchapa,juzi kama bahati akayakanyaga lakini awashukuru security.


0 comments:

Post a Comment