Rappa Drake ilitakiwa afanye show jumamosi iliyopita usiku huko Philadelphia ila alihairisha lisaa limoja kabla ya kuanza.Mashabiki waliohudhuria walipata kujua kwamba Drake hatofanya show lisaa na nusu baadae na ndipo walipoanza kuvurumisha maujumbe kwa twitter.
Show ya Philadelphia ingekuwa ya pili katika ziara ya Drake ya“Would You Like a Tour?,”ya mwanzo ilifanyika siku ya ijumaa hukoPittsburgh.
Chanzo kimoja kinasema show hiyo imeahiishwa mpaka December 18 na zitatumika tiketi zilezile.
Monday, October 21, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment