Kmapuni moja huko marekani imempatia barua Miley Cyrus ya kumtaka afanye sinema ya mapenzi kwa malipo ya donge nono la dolla millioni moja.
Mtandao wa TMZ unaripoti,wenye kampuni hiyo wameshachagua majina yatakayotumika katika sinema hiyo iwapo watakubaliana na Miley Cyrus ambayo ni:1) Wrecking Balls, 2) Dirty Twerk, 3) She Can't Stop
Thursday, October 10, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment