Pharrell Williams mwenye umri wa miaka 40,amepata mwenza na ameamua kuweka wazi na familia yake,marafiki na hata mashabiki wa kazi zake.Super producer huyo atasherekea harusi yake iliyofungwa kisiri huko France mwezi august,katika ukumbi wa Helen Lasichanh huko Miami
Pharrell Williams na wana mtoto wa miaka minne anayeitwa Rocket.
Ripoti zinadai wawili hao wamepanga kufanya sherehe kubwa na kuwalika watu maarufu kama Robin Thicke,Paula Patton,Gwen Stefani na David Guetta. na kama haitoshi kuna minong'ono kwamba Jay Z na Justin Timberlake watatumbiza.
Wageni wametakiwa kuva mavazi maalum ya bustanini,“garden party attire” na wametakiwa kuleta saizi za viatu ili kupatiwa viatu maalum vya kutembelea katika bustani sherehe itakapofanyika.
Wednesday, October 9, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment