Baada ya kumaliza kifungo chake cha miezi mitatu jela kwa makosa ya kukwepa kulipa kodi Laurin Hill alitakiwa kutumikia kifungo kingine cha nyumbani cha miezi mitatu.
Kwa mujibu wa chanzo kimoja,inasemekana jaji amemruhusu Lauryn Hill kuendeleza kazi za sanaa yake na kuahirisha adhabu ya kifungo cha miezi mitatu cha nyumbani.
Taarifa zaidi zinadai,ikiwa ni wiki moja sasa tangu Laurin Hill kutoka jela,anampango wa kuanza ziara ya muziki mnamo tarehe za 15 nov mpaka December 31,na ameruhusiwa japo bado atakuwa chini ya uangalizi.
Tuesday, October 8, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment