Mtandao wa businessweek.com umesema Diddy ame changia dolla250,000 kwa mtanda wa mafunzo ya ujasiliamali "the Network for Teaching Entrepreneurship (NFTE)".
Kiongea lkatika mahojiano na businessweek.com,Diddy amesema:anadhani ni muhimu zaidi kuwapatia mafunzo ya ujasiliamali haswa vijana wa mijini ambao wengi wao wamezaliwa wa na vipaji vya kumudu maisha yao .
Monday, October 7, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment