Chris Brown alimpiga na kumjeruhi aliyekuwa girlfriend wake,Rihanna mwaka 2009,kitendo kilichopelekea kushitakiwa mahakani na kupata adhabu ya kifungo cha nje na kufanya kazi za jamii.
Akiongea katika mahojiano na theguardian.com,Chris Brown anasema tukio la kumpiga Rihanna limemfanya akue na abadilike kwani ilikuwa ni kama kengele ya hatari kwake (biggest wake-up
call).
Muda huu siwezi kufanya tena matukio ya kijinga na ya kitoto kama yale.
Chris Brown anaongeza kusema kwamba hakuwahi kumpiga mwanamke yeyote hapo hawali na kama hatumuamini,ukiwauliza wadada wote aliowahi kujihusiha nao watakuhakikishia.
0 comments:
Post a Comment