Producer na mshindi wa tuzo ya Grammy Pharrell Williams afunga ndoa na aliyekuwa girlfriend wake wa siku nyingi,model Helen Lasichanh siku ya jumamosi ya tarehe 12 Oct.jarida la Us Weekly linatutaarifu kuwa wawili hao walifunga ndoa huko Miami.
Harusi hiyo ilihudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo Usher na Busta Rhymes ambao walitumbiza na kuifanya harusi iwe kama mini concert.
Pharrell Williams na model Helen Lasichanh wana mtoto wa kiume wa miaka minne anayeitwa Rocket.
Sunday, October 13, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment