Rappa the Game ndiye usajili mpya wa Cash Money Records,the Game amejiunga na familia yenye wasanii wakali kama Nicki Minaj,Drake na Lil Wayne
Bosi waCash Money Records Birdman ndiye aliyetangaza usajili huo mpya kupitia Twitter akaunt yake kwa kuandika“S/O 2MY@thegame Westcoast makit Official.RICHGANG.YMCMBusine$$,”.
Rappa the Game mwenye umri wamiak 33,ameshawahi kufanya kazi na Interscope Records, na kachia albam 5 zilizoshika No. 1 ikiwemo ya 2005 The Documentary aliyoifanya akiwa na G-Unit Records.
Sunday, October 13, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment