Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, October 15, 2013

 
Ikiwa ni masaa 48 yamepita tangu Rappar Game kutangazwa kujiunga na Cash Money Records,tukio la the West Coast hip-hop heavyweight akikaribishwa rasmi na kuvishwa cheni ya YMCMB lilionekana katika mitandao mbalimbali.
 Rapper The Game has been alikaribishwa siku ya jumamosi tar 120ct  na  mwana Young Money/Cash Money mwenzake,Tyga katika tamasha la "How The West Was Won" hukoVerizon California.
Wakati Game akitumbuizaTyga alitokea na kutumbuiza kwa wimbo wake "Faded" na baada ya kumaliza Tyga alimvisha Game cheni yake ya Young Money/Cash Money.Game anavaa chain ya Young Money/Cash Money ikiwa miaka 8 tangu aitupe cheni ya G Unit kwa watazamaji katika Summer Jam ya Hot 97,mwaka 2005 .

0 comments:

Post a Comment