Katika hali isiyokuwa ya kawaida pop star Justin Bieber amemzingua DJ mmoja huko South Korea,akiongoea na mwandishi mmoja,dj huyo aliyekuwa akipiga katika moja ya night club alisema,alikuwa katika shughuli zake za kupiga muziki ndipo aliposhangaa kumuona Justin Bieber aliongozana na kundi la walinzi wake wakimvamia na Justin Bieber alimwambia abadilisha aina ya muziki anaopiga,apige hip hop zaidi.
Tuesday, October 15, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment