Ile show ya uhalisia ya staa Wema sepetu iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wake na wapenzi wa show za uhalisia sasa kuanza kuonekana siku ya jumatano tarehe 15 - 10 - 2013 saa tatu na nusu usiku katika televisheni ya EATV.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment