Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 11/25/2013 02:33:00 AM
No comments
Jarida la Forbes limewataja miamba ya hip hop duniani Diddy,Jay Z & Dr. Dre kuwa wamo katika list ya Top 25 ya wanamuziki wanaolipwa zaidi duniani katika kile kinachoitwa Forbes The worlds highest paid musicians.Diddy ameshika nafasi ya 12 kwa kuingiza dola millioni 50 million.Jay Z ameshika nafasi ya 19 kwa kuingiza dola millioni 42 million na Dr. ameshika nafasi ya 21 ameingiza dola millioni 40.Madonna ndiye mwanamuziki anayeongoza kwani amingiza zaidi ya dola millioni $12.Hii ni kutokana na mkwanja walioingiza wanamuziki katika kipindi cha mwaka mmoja,kuanzia June 1, 2012 mpaka June 1, 2013.
0 comments:
Post a Comment