John F Kennedy alikuwa ni raisi wa 35 na ni raisi wa kwanza wa Amerika aliyezaliwa karne ya 20,Kennedy alizaliwa May 29, 1917. katika familia ya kitajiri.
Mwaka1960, Kennedy aliteuliwa kugombea uraisi wa Marekani dhidi ya Richard Nixon, ambaye alikuwa ni makamu wa raisi kwa kipindi hicho.Nixon alifanya kosa kubwa kukubali kufanya debate live katika televisheni.Kennedy alishinda japo kwa kura chache.
John Fitzgerald Kennedy aliuliwa kwa risasi alipokuwa akitembelea mitaa ya Dallas,Texas,akiwa katika gari ya wazi.Leo ni miaka 50 ya kmbukumbu ya kifo cha aliyekuwa raisi wa Marekanit John F Kennedy.
Friday, November 22, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment