Sasa Mike Tyson na Evander Holyfield ni marafiki wazuri ambao wanaweza kukaa pamoja weekend na kufanya yao.Katika tangazo jipya ambalo ni la kufurahisha,ameonekana Tyson ameshika kibox na kugonga hodi mlangoni,baada ya mlango kufunguliwa alitoka Evander Holyfireld na ndipo alipomkabidhi kibox na kumwambia:"I'm sorry, Evander,"It's your ear."
Mike Tyson alimng'ata sikio Evander Holyfield mwaka 1997 wakati wakigombania mkanda wa ubingwa wa dunia katika uzito wa juu.
0 comments:
Post a Comment