Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 11/22/2013 02:21:00 AM
No comments
Siku ya jumanne Michelle Obama alikuwa mgeni mualikwa katika kipindi cha televisheni cha BET"106 & Park".Watu waliokuwapo walipata nafasi ya kumuuliza maswali Michelle Obama na ndipo swali kubwa likawa,katika kupenda kwako kuvaa na kwenda na wakati,siku ipi unajutia na na ulivaa nguo ipi? Michelle Obama akajibu kwamba hatoisahau siku aliyovaa kikaptura akishuka katika ndege ya raisi wa marekani,Air Force One,kwani ilizua gumzo kubwa kwa watu,lakini wakashau hatukuwa kazini,tulikuwa vacation!
0 comments:
Post a Comment